Imewekwa: December 12th, 2022
Taasisimya Foundation for Disabilities mkoa wa Dodoma imekabidhi vifaa kwa ajili ya walemavu wasioona pamoja na wenye ulemavu wa ngozi.
Makabidhiano hayo yamefanyika Ofisini kwa Mkurugenzi Mtendaji...
Imewekwa: December 5th, 2022
Mheshimiwa Naibu Waziri OR- TAMISEMI anayeshughulikia Masuala ya afya Mhe. Festo Ndugange amefanya ziara ya kikazi Wilayani Chamwino leo Desemba 05,2022.
Katika ziara hiyo amekagua shughuli m...
Imewekwa: December 1st, 2022
Wawakilishi wa shirika la msaada la Uingereza UKAID(FCDO) ambalo linafadhili mradi wa Shule Bora na EP4R limefanya ziara Wilayani Chamwino leo Desemba 1, 2022 kwa lengo la kufuatilia utekelezaji wa mr...