• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Maendeleo ya Jamii

1.UTANGULIZI 

Idara ya maendeleo ya jamii ni Sekta mtambuka na ni miongoni mwa idara kumi na tatu (13) zinazounda Halmashauri ya wilaya ya Chamwino. Idara inatekeleza majukumu yake kulingana na Miongozo na Sera mbalimbali zinazotolewa na Serikali kwa kuzingatia dira na mwelekeo wa kitaifa na dira ya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Pamoja na majukumu hayo Katika kufanikisha na kurahisisha utekelezaji wa shughuli mbalimbali jukumu kubwa la idara ni uhamasishaji ili kufikiwa kwa shabaha za Sera ya Maendeleo ya Jamii ambazo ni zifuatazo:

  • Kuuwezesha Umma wa Watanzania kujiletea Maendeleo yake wenyewe kwa kufanya kazi za uzalishaji kwa bidii, Maarifa na kwa nidhamu ya hali ya ili wawe na Kipato kikubwa kitakachowezesha jamii iwe na maisha bora kwa njia ya Kujitegemea kwa kutumia Rasiimali tulizonazo.Ni njia hii tu Umaskini Utaweza kutokomezwa hapa nchini.
  • Kuwawezesha Watanzania walio na Mali kuzitumia katika Mambo yanayoleta Maendeleo.
  • Kuwawezesha Watanzania walio wengi kuingia katika mfumo wa biashara kwa kubadilishana mali walizonazo kwa kutumia fedha na kutumia fedha hizo kulipia manunuzi ya bidhaa na Utumiaji wa huduma ili kuboresha maisha yao.
  • Kuwawezesha Watanzania kuingia katika mfumo wa Bajeti na kutumia mapato yao kwa uangalifu na kujenga tabia ya kuweka akiba Benki.
  • Kuwawezesha Watanzania kuungana katika vikundi na kujenga ari ya kujiongezea maendeleo.

Katika kufanikisha mambo hayo yote idara inafanya kazi kwa kutumia vitengo sita kama vifuatavyo:-

1: Kitengo cha utafiti na mipango

  • Kuendesha na kuwezesha zoezi la mbinu shirikishijamii
  • Kuwezesha wanavikundi kuandika mihutasari,katiba, na michanganuo ya miradi
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango, utafiti,mafunzo na takwimu kwa ajili ya shughuli za maendeleo
  • Kuhamasisha na kushirikiana na uongozi wa vijiji katika kuandaa mipango ya maendelo ya miradi ya kujitegemea
  • Kubuni mbinu za kukusanya takwimu,kuchambua,tafsiri na kuzitumia kwa shughuli za maendleo vijijini
  • Kumshari mkuu wa idara katika masuala yote yayohusiana na miradi ya ujenzi na ufundi.


2: Kitengo cha Kikosi cha ufundi na ujenzi vijijini

  • Kusimamia miradi yote ujenzi inayohusisha nguvu za jamii (zahanati,madarasa, nyumba za walimu na waganga,ofisi za vijiji n.k.)
  • Uundaji wa vikosi vya ujenzi na ufundi vijijini (village building brigades).
  • Kutoa mafunzo ya matumizi ya tekinolojia sahihi na rahisi kwa vikosi vya ujenzi na ufundi vijijini.
  • Kuiwesha jamii (vikosi ) ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu
  • Kumshauri mkuu wa idara katika masuala yote yayohusiana na miradi ya ujenzi na ufundi
  • Kubaini na kusaidia vikundi vya ufundi kuhusiania  na tekinolojia za ufundi na ujenzi.

3: Kitengo cha Jinsia  na watoto

  • Kuhakikisha kila idara za kisekta zinazingatia katika mipango yao hoja za jinsia kwa mujibu wa mpango mkakati wa maendeleo ya kijinsia
  • Kuratibu taarifa za utekelezaji za watumishi ngazi ya kata kuhusu dhana ya jinsia
  • Kutoa mafunzo ngazi ya kata na WDC kuhusu uzingatiaji wa maswala ya ya kijinsia katika kuweka vipaumbele ,upangaji,utekelezaji na tathimini.
  • Kutekeleza dhana ya jinsia
  • Kutoa mafunzo ya jinsi kwa vikundi vinavyotoa huduma na vikundi vya uzalishaji mali.
  • Kutoa na kuratibu mikopo inayotolewa na Halmashauri  kwa miradi  iliyoibuliwa na kuendeshwa na wanawake
  • Kumshauri mkuu wa idara katika masuala yote yayohusiana na Jinsia wanawake na watoto.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.