Imewekwa: January 29th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mheshimiwa Vumilia Nyamoga ameipongeza Idara ya Elimu Sekondari kwa kufanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne 2020 na kuifanya Wilaya kuwa ya kwanza kimko...
Imewekwa: January 27th, 2021
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa S.Kemikimba amezindua Mradi wa maji wenye Gharama ya Tshs 318,888,222/= kwa jitihada za Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Water Mission Tanzania...
Imewekwa: January 21st, 2021
Na Brian Machange - Buigiri, Chamwino
Waziri wa Maji Mheshimiwa Juma Aweso (Mb) amesema hataongeza muda wa siku 60 uliotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Maji kukakamilisha mradi wa ujenzi wa tangi la ...