• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MBUNGE WA CHAMWINO AANZA KUTEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU

Imewekwa: December 14th, 2020

 Na Brian Machange - Chamwino

Katika kutekeleza agizo la Serikali lililotolewa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) tarehe 08.12.2020 kwa Mikoa na Halmashauri zote nchini kuhakikisha changamoto za upungufu wa vyumba vya madarasa na Madawati (Viti na Meza) kwa shule za Sekondari zinatatuliwa kama sehemu ya maandalizi ya kuwapokea wanafunzi wote wa kidato cha Kwanza kwa mwaka 2021,  Mbunge wa Jimbo la Chamwino Mhe. Deo Ndejembi kwa kushirikiana na viongozi wa Wilaya hiyo ametoa zaidi ya shiling Milioni 2 katika tarafa za Itiso na Chilonwa ilikusaidia ukamilishaji wa vyumba vya madarasa ikiaa zimebaki wiki chache kabla ya kuwapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mapema Januari mwakani.

Mhe. Ndejembi amekabidhi sh.600,000/= kwa shule ya Buigiri, sh. 500,000/= kwa shule ya Manchali, sh. 600,000/= kwa shule ya Chamwino, madawati 10 yenye thamani ya sh. 350,000/= kwa shule ya Msanga na mifuko 20 ya saruji yenye thamani ya sh. 340,000/= kwa shule ya Chilonwa.

Wakati huohuo Mhe. Ndejembi ameahidi kuchangia mifuko 20 ya saruji kwa shule za Itiso na Haneti kwa ajili ya ukarabati wa vyumba vya madarasa mara baada ya kupokea taarifa ya upungufu uliopo kwa shule husika, hata hivyo amezitaka shule za Sekondari Dabalo, Segala na Membe kukamilisha tathmini za kitaalamu kulingana na uhitaji wa shule hizo na kumpelekea taarifa hizo iliaweze kuchangia.

Kwa upande wake Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chamwino Mhe. Keneth Yindi amemuunga mkono Mbunge wa Jimbo la Chamwino kwa kuahidi kuchangia zaidi ya laki 2 pamoja na kutoa mifuko 10 ya saruji na tripu 2 za mchanga ilikukamilisha ukarabati wa vyumba vya madarasa katika tarafa za Chilonwa na Itiso.

Katika ziara hiyo Mhe. Ndejembi amewakilishwa na msaidizi wake Ndg. Muhsin Mulokozi aliyeambatana na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Keneth Yindi, Mkuu wa Idara ya Sekondari Bi. Rehema Nahale, Afisa toka idara ya Sekondari Bi. Nyemo Masimba pamoja na Afisa Tarafa ya Itiso Ndg. Remedius Emanuel.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.