Imewekwa: September 6th, 2019
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Ndugu A. H. Masasi ameitaka jamii ya Chamwino kuzingatia lishe bora kwa watoto na kuwaepusha na udumavu ili kujenga taifa lenye watu wenye afya...
Imewekwa: August 25th, 2019
Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino Bi. Zaina Kishwegwe amesema kuwa wanafunzi wilayani hapa wameonyesha dalili nzuri ya kufaulu mitihani yao ya kuhitimu darasa la saba inayotarajiwa kufanyika tareh...
Imewekwa: August 24th, 2019
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwa tarehe 24 Novemba 2019 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika.
Waziri Jafo ameyasema hayo jana alipokuwa akifanya kikao na...