Imewekwa: May 26th, 2023
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza Khamis ameongoza zoezi la upandaji miti lililofanyika leo Mei 26, 2023 shule ya sekondari Buigiri.
Taasis zi...
Imewekwa: May 19th, 2023
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Ally Gugu amewataka viongozi Wilayani Chamwino kutekeleza miradi kwa wakati na na kwa kuzingatia viwango vilivyowekwa kwenye miradi hiyo.
Kauli hiyo ilitolewa wakati w...
Imewekwa: May 15th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Gifty Isaya Msuya, 15 Mei 2023 amekagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa shule ya msingi mpya yenye mikondo miwili inayojengwa katika kijiji cha Mjelo, unaotekelez...