Imewekwa: December 23rd, 2019
Tarehe 23 Desemba 2019, Baraza la Biashara limefanya kikao kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, ikiwa na lengo la kukutanisha sekta ya umma na sekta binafsi ili kuboresha mazing...
Imewekwa: October 17th, 2019
Tarehe 17 Oktoba, 2019 Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mh. Vumilia Nyamoga amefanya uzinduzi wa Chanjo ya Surua, Rubela na Polio katika zahanati ya Buigiri.
Chanjo itatolewa kwa watoto wenye umri kuanzi...
Imewekwa: October 12th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Leo tarehe 12 Oktoba 2019, amejiandikisha kwenye Daftari la Orodha ya Wapiga kura la Kitongoji cha Sokoine Chamwino Ikulu kwa ajili ya ...