• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

NMB yakabidhi madawati 255 kwa Mbunge wa Chamwino

Imewekwa: May 5th, 2021


Bank ya NMB kanda ya kati imemkabidhi Mbunge wa chamwino msaada wa Madawati yapatayo 255 kwa shule za msingi za Dabalo, Chiwondo na Igamba kata ya Dabalo na Shule ya msingi Msanga B na Sekondari ya Msanga Kata ya Msanga.

Hafla hiyo ya kukabidhi madawati hayo imefanyika May 5, 2021 katika viwanja vya shule ya Msingi Dabalo na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Wilayani Chamwino.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Meneja wa NMB kanda ya Kati Bw. Msolo Mlozi amesema kuwa msaada huo ni sehemu ya kurudisha shukrani kwa jamii baada ya bank ya NMB kupata faida hivyo sehemu ya faida hiyo hugawana na Wananchi.

Akibainisha nyanja mbalimbali ambazo Bank ya NMB hutoa gawio lake kama faida kwa Wananchi, Bw. Mlozi amezitaja nyanja hizo ni pamoja na Elimu, Majanga, huduma za Afya pamoja na kutoa elimu juu ya utunzaji fedha.

Naye Mbunge wa Jimbo la Chamwino, ambaye ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deo Ndejembi ameishukuru Bank ya NMB kwa msaada huo kwani kwa kiasi kikubwa imepunguza tatizo la upungufu wa madawati kwa kata ya Dabalo.

Naibu Waziri Ndejembi amewataka wanafunzi walionufaika na msaada huo kuyatunza madawati hayo iliyaweze kutumika kwa muda mrefu, kwani kutawezesha na wengine kuyatumia.

Akitoa shukrani kwa niaba ya Halmashauri ya Chamwino Makamu Mwenyekiti Mhe. Kenneth Yindi ametoa pongezi kwa Bank ya NMB kwa namna ambavyo wamekuwa mstari wa mbele katika kuisaidia jamii hasa katika nyanja za Elimu kwani kwakufanya hivyo kunatengeneza wasomi wazuri wa siku za usoni.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Wakuu Wa Shule Wapatiwa Mafunzo Ya Mfumo Wa NeST

    March 21, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.