Imewekwa: July 4th, 2022
Mheshimiwa waziri wa Kilimo Hussen Bashe amefanya uzinduzi wa usajili wa wakulima na mwongozo wa utoaji wa ruzuku ya mbolea msimu wa 2022/2023 ambao utafanyika kidigitali.
Uzinduzi huo ameufa...
Imewekwa: June 23rd, 2022
Katbu Tawala wa Mkoa wa Dodoma ndugu Fatuma Mganga ametoa pongezi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa kupata hati safi kwenye ukaguzi wa hesabu za mwaka wa fedha 2020/2021.
Pon...
Imewekwa: June 16th, 2022
Wazazi Chamwino Waaswa kutimiza Wajibu kwa Haki za Watoto
Wazazi na wadau wanaohusika na malezi ya watoto Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino wametakiwa kutimiza wajibu wao katika kutekekeleza haki z...