Imewekwa: July 8th, 2025
Maafisa kutoka Ofisi ya Rais Utumishi wakiongozwa na Ndg. Rashidi Shedafa wakishirikiana na wataalam kutoka Halmashauri wameendesha mafunzo ya mfumo wa e-utendaji kwa Wakuu wa Idara, Sehemu, Watendaji...
Imewekwa: July 2nd, 2025
Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Aga Khan nchini Tanzania imetambulisha mradi wa “Tuinuke Pamoja” mbele ya timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino leo tarehe 2 Julai, 2025 katika ukumbi...
Imewekwa: June 20th, 2025
Katibu Tawala Wilaya ya Chamwino Ndg. Neema Nyalege ahimiza mashirikia yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) kutoa taarifa zao za utekelezaji wa shughuli wanazozifanya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwin...