Imewekwa: October 6th, 2021
Kaimu Afisa elimu idara ya elimu msingi Mwl Agripina Kanyabuhura amewaongoza mamia ya wananchi wa kijiji cha Mguba kujitolea nguvu kazi kwenye ujenzi wa matundu 12 ya vyoo katika shule ya msingi Majen...
Imewekwa: October 1st, 2021
Na Brian Machange - Chamwino
Serikali imetoa wiki mbili kwa wananchi waliovamia eneo la Farm katika kijiji cha Chamwino Ikulu mkoani Dodoma kuondoka katika eneo hilo kuanzia Oktoba 2, 2021 kwa kuwa...
Imewekwa: August 26th, 2021
Wilaya ya Chamwino kupitia kikao chake na wadau mbalimbali wa elimu wamekuja na kampeni ya nishike mkono Chamwino kwa lengo la kukusanya zaidi ya bilioni moja kwa ajili ya ujenzi wa mabweni 10 na vyum...