Imewekwa: September 4th, 2023
Hospitali ya Uhuru imeanza kufanya upasuaji mkubwa, na Septemba 4, 2023 umefanyika upasuaji kwa mara ya pili ambapo amepatikana Mtoto wa kike. Mama na Mtoto wote wako salama.
Taarifa hii imetolewa ...
Imewekwa: August 23rd, 2023
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Chamwino Ndugu George Malima ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa kufanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato kwa mwaka wa fedha 2022/2023 na ku...
Imewekwa: August 23rd, 2023
Wajumbe wa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino wamepewa elimu kuhusu ugonjwa wa homa ya ini ( hepatitis B) ambao kwa sasa umekuwa maabukizi yake yamekuwa yakiongezeka kwenye jamii.
...