Imewekwa: December 19th, 2020
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo, ameitembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Hospitali ya Uhuru iliyoko Wilayani Chamwino...
Imewekwa: December 14th, 2020
Na Brian Machange - Chamwino
Katika kutekeleza agizo la Serikali lililotolewa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) tarehe 08.12.2020 kwa Mikoa ...
Imewekwa: December 13th, 2020
Mbunge wa Jimbo la Chamwino Mhe. Deo Ndejembi jana tarehe 12 Disemba 2020, amefanya ziara kata ya Chilonwa, Msanga, Chamwino, Buigiri na Manchali na kukutana na Viongozi wa Kata na Vijiji hivyo pamoja...