• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Uchaguzi

1: Utangulizi:

Kitengo cha Uchaguzi ni miongoni mwa vitengo 6 vya Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa vilivyoanzishwa kwa mujibu wa Muundo wa Halmashauri wa mwaka 2012.

Kitengo hiki kilianzishwa mahususi kwa ajli ya kusimamia na kuratibu shughuli zote za uchaguzi Mkuu na Chaguzi ndogo za Urais, ubunge na Udiwani kwa mujibu wa Sheria za Uchaguzi, Kanuni za Uchaguzi na Maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika ngazi ya Halmashauri. 

Pia kitengo hiki kinawajibika kusimamia na kuratibu shughuli za Uchaguzi Mkuu na Chaguzi ndogo za Serikali za Mitaa kwa Mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Kanuni za Uchaguzi na Maelekezo ya Wizara yenye dhamana ya Serikali za Mitaa.

2: Dira:

Dira ya Kitengo hiki ni Kuwa kitengo madhubuti kitakacho weza kuchangia katika kuleta maendeleo ya wananchi kwa kujenga Halmashauri inayozingatia Utawala bora uliojengwa katika misingi ya Uchaguzi Huru, wa Haki na wa Mara kwa mara (Free, Fair and Frequent elections) kufikia 2025 .

3: Dhima:

Dhima ya kitengo hiki ni kuhakikisha kuwa Sheria na Kanuni za Uchaguzi zinasimamiwa ipasavyo kwa lengo la kuwawezesha Wananchi wote wenye sifa katika Halmashauri kupata fursa ya kushiriki kikamilifu katika kuwachagua viongozi wao kupitia uchaguzi ulio huru na wa haki.

4: Majukumu ya Msingi:

  • Kusimamia na kuratibu zoezi la Mgawanyo wa Maeneo ya utawala (Vitongoji, Vijiji na Kata) katika mipaka ya Halmashauri
  • Kusimamia na Kuratibu zoezi la kuandaa orodha ya Wapiga kura wenye sifa katika Halmashauri
  • Kusimamia na kuratibu uteuzi wa wagombea wenye sifa na kampeni za Uchaguzi
  • Kusimamia na kuratibu zoezi la upigaji kura

5: Mafanikio:

Toka kuanzishwa kwake kitengo hiki kimeweza kupata mafanikio makubwa katika utekelezaji wa shughuli za Uchaguzi. Mafanikio hayo ni Pamoja na:

  1. Kusimamia kwa ufanisi Uchaguzi Mkuu wa Rais, Ubunge na Madiwani wa  mwaka 2015.
  2. Kusimamia kwa ufanisi zoezi kuandaa Daftari la kudumu la Wapiga kura kwa kutumia Mfumo wa BVR mwaka 2015 ambapo wananchi wote wenye sifa katika Halmashauri waliandikishwa
  3. Kusimamia kwa ufanisi Uchaguzi Mkuu wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2014.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.