Imewekwa: December 5th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino imetoa mikopo yenye thamani ya Tshs. 203,300,000/= kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu vilivyokidhi masharti ya kupatiwa mikopo ya Serikali.
...
Imewekwa: December 1st, 2024
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Dkt. Hussein Mohammed Omar ametembelea shamba la Jenga Kesho Iliyobora (BBT)Mlazo-Ndogowe, Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Novemba 30 na kukabidhi ekari 2000 kw...
Imewekwa: November 19th, 2024
Timu ya Handali imeibuka na ubingwa wa jezi mpya baada ya kuifunga timu ya Mvumi Mission kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5 kwa 4 baada ya timu hizo kutoshana nguvu ndani ya dakika 90 kwa kutoka sa...