Imewekwa: February 27th, 2025
Baraza la Madiwani kupitia mkutano maalum wa Baraza la Madiwani la kujadili Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2025-2026 kwa pamoja limepitisha bajeti ya jumla shilingi bilioni 50,617,686,0...
Imewekwa: February 18th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino imepongezwa kwa kuanzisha mfuko wa elimu. Pongezi hizo zimetolewa jana tarehe 18 Februari, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mh. Janeth Mayanja wakati wa kikao cha w...
Imewekwa: February 16th, 2025
Kamati ya kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeipongeza Halmashauri ya Chamwino Kwa kuonyesha na kusimamia thamani ya fedha katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya elimu katika Halmashauri hiyo.
...