Imewekwa: April 2nd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja leo April 2, 2024 amekagua maendeleo ya ujenzi wa uzio wa Ofisi za Halmshauri ya Chamwino.
Katika ukaguzi huo Mkuu wa Wilaya ametoa maelekezo ya kufua...
Imewekwa: March 20th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe Janeth Mayanja aliyehamia akitokea Wilaya ya Hanang amefanya kikao cha kutambuana na watumishi kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali wilayani Chamwino.
Kikao kimefany...
Imewekwa: March 8th, 2024
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeendelea kuchukua jitihada mbalimbali za kuhakikisha kuwa Wanawake wanap...