Imewekwa: November 16th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino imefanya mkutano wa Baraza la Madiwani robo ya kwanza Novemba 15-16, 2023. Mkutano umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.
Katika mkutano huo mambo mb...
Imewekwa: November 16th, 2023
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wametakiwa kutangaza mazuri yanayofanywa na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Agizo hilo limeto...
Imewekwa: November 13th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Gift Isaya Msuya amefanya mkutano wa hadhara na wananchi wa kata ya Membe Novemba 13, 2023 kwa lengo la kutatua sintofahamu iliyoibuliwa na wananchi wa vijiji vya...