Imewekwa: January 27th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino leo tarehe 27 Januari, 2025 imesheherekea siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupanda miti katika shule ya Mkoa ...
Imewekwa: January 24th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mh. Janeth Mayanja leo tarehe 23 Januari, 2025 amehimiza mpango wa upatikanaji wa chakula kwa wanafunzi wote wa shule katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino.
Mh. Janeth...
Imewekwa: January 22nd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule leo tarehe 22 Januari, 2025 amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino na kukagua mradi wa ujenzi wa shule mpya ya sekondari kijiji cha Igan...