Imewekwa: September 25th, 2020
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- TAMISEMI, anayeshughulikia Afya Dkt. Dorothy Gwajima,amezitaka timu za Afya za Wilaya kufanya vikao vinavyoibua hoja za msingi zenye mashiko ya kuipeleka sekta ya Afya...
Imewekwa: August 10th, 2020
Wanawake wa Wilaya ya Chamwino waonywa dhidi ya mila, desturi na taratibu potofu za jamii zinazohusu masuala ya ulishaji watoto.Hayo yamesemwa hivi karibuni na kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii Hal...