• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Chamwino yaja na kampeni ya "nishike mkono boresha Elimu Chamwino"

Imewekwa: August 26th, 2021

Wilaya ya Chamwino kupitia kikao chake na wadau mbalimbali wa elimu wamekuja na kampeni ya nishike mkono Chamwino kwa lengo la kukusanya zaidi ya bilioni moja kwa ajili ya ujenzi wa mabweni 10 na vyumba 50 vya madarasa wilayani Chamwino.

Katika kikao hicho kilichosimamiwa na Mkuu wa Wilaya Mhe. Gift Isaya Msuya kimejumuisha wadau mbalimbali toka nje na ndani ya Wilaya ya Chamwino wamejadili mustakabali wa elimu katika wilaya ya Chamwino kwa kuweka mikakati mbalimbali itakayowezesha kupandisha kiwango cha elimu kwa shule za msingi na sekondari zilizopo Wilayani humo.

Akizungumza katika kikao hicho Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Gift Isaya Msuya amebainisha maeneo ambayo yatapewa kipaumbele katika awamu hii ya kwanza ya kampeni ya nishike mkono Chamwino ambapo watajenga mabweni 10 ili kuwasaidia wanafunzi hususani watoto wa kike wanaotumia umbali mrefu kufika shuleni.

Vilevile katika kampeni hiyo itawezesha ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa vipatavyo 50 ilikukabiliana na uhaba wa vyumba vya madarasa uliopo hususani katika shule za msingi Wilayani hapo.

Wakiongea kwa nyakati tofauti wadau mbalimbali wamepongeza wazo alilokuja nalo Mkuu wa Wilaya wa kuona mbali suala la elimu katika Wilaya ya Chamwino na kuahidi kumpa ushirikiano wa kutosha ilikutekeleza wazo hilo kwa vitendo ambapo zaidi ya Milioni moja ilichangwa papo hapo.


Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • RATIBA YA MAFUNZO YA MFUMO WA MADENI,MIS June 26, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mkuu wa Mkoà wa Dodoma Akagua Mirdi yà Maendeleo Chamwino

    May 31, 2023
  • Naibu Wazri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Ashiriki Zoezi la upandaji Miti Chamwinoi

    May 26, 2023
  • Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Akagua Miradi Chamwino

    May 19, 2023
  • Mkuu wa Wilaya Chamwino na Viongozi wa Halmashauri Wakagua Maendeleo ya Ujenzi Mradi wa Boost

    May 15, 2023
  • Angalia Zote

Video

JITIADA ZA RC DOM DKT. MAHENGE KUWAINUA VIJANA KIUCHUMI KUPITIA KILIMO,
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.