Imewekwa: November 15th, 2022
Wizara ya mifugo imepanga maeneo sita ya kuyafanyia maboresho. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na uvuvi alipokuwa akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo rejea kwa maafisa ugani Nchini.
...
Imewekwa: November 15th, 2022
"Serikali ya awamu ya sita imepanga kufanya mabadiliko makubwa kwenye sektamya mifugo."
Hayo yamesemwa kwenye ufunguzi wa mafunzo rejea kwa maafisa ugani Nchini kwa kanda ya kati yanayofanyika Wila...
Imewekwa: November 11th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Staki Senyamule ametoa maelekezo mbalimbali kwa watendaji wa Serikali ikiwemo suala la Elimu ambapo alisema bado ufaulu wa mkoa upo chini, upungufu wa miundo...