Imewekwa: May 12th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino imetoa vyeti vya pongezi kwa NGO's zinazofanya kazi wilayani humo ikiwa na lengo la kutambua mchango unaotolewa na NGO's hizo.
Vyeti hivyo vimetolewa leo kwenye ki...
Imewekwa: May 9th, 2023
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki , amezindua jengo la upasuaji na wodi ya wazazi katika kituo cha afya Dabalo wakati wa hafla ya makabidhiano y...
Imewekwa: May 3rd, 2023
Kamati ya Fedha, Utawala na Uongozi pamoja na kamati ya Elimu, Afya na maji Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino zimepongezwa kwa ukusanyaji mzuri wa Mapato na usimamizi mzuri wa huduma za afya na elimu....