• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI JAFO ATEMBELEA MRADI WA HOSPITALI YA UHURU, AKERWA NA VIONGOZI WANOBEZA MATUMIZI YA "FORCE ACCOUNT"

Imewekwa: December 19th, 2020

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo, ameitembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Hospitali ya Uhuru iliyoko Wilayani Chamwino na kuonesha kukerwa na baadhi ya watendaji wa serikali kubeza matumizi ya mfumo wa ‘Force Account’ kwenye masuala mbalimbali ikiwemo ununuzi wa vifaa kwenye majengo ya serikali.

Kero hiyo ya Waziri Jafo ilitokana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binnilith Mahenge kumweleza kuwa Mkandarasi kutoka Kampuni ya Suma JKT ambayo niwatekelezaji wa mradi huo kueleza kuwa baadhi ya vifaa kuchelewa kuwekwa kutokana na gharama zake kuwa juu.

“Unaenda Suma JKT unakuta milioni moja na laki nne, unaenda Don Bosco kule milioni moja na laki mbili lakini unaenda kwenye masoko unakuta laki sita na nusu halafu unasema taratibu za manunuzi, hii haikubaliki katika utendaji nakuagiza Mkurugenzi nenda kanunue vifaa kwa gharama ya soko” amesisitiza  Waziri Jafo.

Waziri ameeleza kuwa,  anakerwa na baadhi ya watu wakiwemo viongozi wanaokashifu utaratibu wa "Force Account"  unaondoka site unakuta kitu kinauzwa laki sita halafu huku unapata milioni moja na laki nne au mbili kwanini usiende kununua pale pa bei rahisi?

Waziri Jafo amefafanua kuwa, Rais Magufuli amajenga vituo vya Afya 487 kwa utaratibu wa "Force Account" na kwamba mwanzo kwa kutumia kandarasi za mwanzo majengo yalikuwa yanajengwa kwa fedha nyingi na gharama kubwa.

“Naomba viongozi wenzangu wengine mnaokaa mnakashifu utaratibu wa Force Account msiongopewe hivi hamfikirii zamani jengo la Bilioni mbili leo linajengwa kwa bei ndogo halafu leo watu wanasimama wanasema utaratibu huu hauna maana unajua kuna watu wa ajabu sana na inawezekana hawajui maisha halisi ya watanzania huu utaratibu umetusaidia shule kongwe zimekarabatiwa” amesema Waziri Jafo.

Awali, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt Mahenge alimweleza Waziri huyo kuwa mradi ulikuwa uwe umekamilika lakini kuna changamoto ya baadhi ya fedha ambazo bado hazijatolewa.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.