Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Staki Senyamule, amewapongeza wanafunzi wa kidato cha sita Shule ya Sekondari Chilonwa kwa kupata ufaulu mzuri katika mtihani wa Taifa.
Pongezi hizo amezitoa tarehe 19, Julai 2023 wakati wa ziara ya ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa 8, mabweni manne na matundu 14 ya vyoo mradi unaotekelezwa kwa fedha kutoka Serikali Kuu.
“Chilonwa mmenifurahisha haya ninayo ya sema wale kidato cha sita waeshaanza kuekeleza kwa sababu mmefanya vizuri katika matokeo ya kidato cha sita ambapo kuna ‘division I na II’ kwa hilo nawapongeza sana”, alisema Mkuu wa Mkoa.
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.