Imewekwa: October 30th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino leo tarehe 30 Oktoba 2024 imeadhimisha kilele cha siku ya lishe kitaifa katika kata ya Ikowa kijiji cha Makoja.
Maadhimisho hayo yaliyoadhimishwa kitaifa nchi nzim...
Imewekwa: October 29th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mh. Janeth Mayanja ameagiza watendaji wa kata kuhakikisha wanafanya siku za lishe vijijini.
Mh. Mayanja ametoa maagizo hayo wakati akiongoza kikao cha robo ya kwanza cha ...
Imewekwa: October 24th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja ameongoza kikao cha robo ya kwanza cha Baraza la Wafanyabiashara wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino leo tarehe 24 Oktoba, 2024 kilichofanyika katika uk...