• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Wanakijiji Ndebwe, Chamwino Wapatiwa Majiko Banifu

Imewekwa: July 29th, 2025

Shirika la Offgridsun wakishirikiana na Shirika la Action for Community care leo tarehe 29 Julai 2025 wamegawa majiko banifu  310 kwa wananchi wa Kijiji cha Ndebwe wilayani Chamwino  mkoani Dodoma ikiwa ni uungaji  mkono juhudi za Serikali katika kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.

Valentina Quaranta ambaye ni Meneja wa Mradi kutoka Action for Community Care (ACC) amesema lengo wanalokusudia ni kugawa majiko banifu 200,000 kwa wananchi ambapo mpaka sasa wameshagawa majiko 25,000 kwa mkoa wa Tanga, Morogoro pamoja na Dodoma.

Valentina Quaranta  amesema majiko hayo banifu yanapunguza sana matumizi ya kuni na mkaa na hivyo kupunguza athari za uchafuzi wa mazingira.

Kwa upande wake, Nolasco Mlay,  Mkurugenzi wa Nishati safi ya Kupikia kutoka Wizara ya Nishati amepongeza  jitihada za wadau katika kuunga mkono jitihada za Serikali katika utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia.

Amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha  ifikapo 2034  asilimia 80 ya wananchi  wanatumia Nishati Safi ya Kupikia. Hivyo amewaomba wadau hawa kufika na maeneo mengine ili kuongeza chachu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Ametoa wito kwa wananchi wa kijiji cha Ndembwe kuhakikisha wanayatunza  majiko hayo ili kuendelea kulinda afya zao na mazingira kwa ujumla.

Wananchi wa kijiji cha Ndebwe kwa nyakatii tofauti wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita pamoja na wadau  kwa kuwapatia majiko hayo ambapo wameahidi kuyatunza.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Wanakijiji Ndebwe, Chamwino Wapatiwa Majiko Banifu

    July 29, 2025
  • Wataalam Kutoka Mkoani Wakagua Miradi Chamwino

    July 29, 2025
  • LGTI Yakinoa Kikosi Kazi Cha Halmashauri Kupambana Na Mabadiliko Ya Tabia Ya Nchi

    July 22, 2025
  • Chamwino Yafanya Tathimini Ya Utendaji Kazi Na Kuweka Mikakati Mipya Kwa Mwaka 2025/2026

    July 15, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.