Imewekwa: August 22nd, 2025
Katibu tawala (DAS) wilaya ya Chamwino ndugu Neema Nyalege amefanya kikao cha robo ya nne ya utekelezaji wa mkataba wa lishe ngazi ya kata. Kikao hicho kimefanyika Agosti 21, 2025 katika Ukumbi wa Hal...
Imewekwa: August 19th, 2025
Kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, Bi. Tulinagwe Ngonile (Afisa Elimu sekondari) leo Agosti 19, 2025 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, amezindua mafunzo ya siku t...
Imewekwa: August 14th, 2025
Mkuu wa wilaya ya chamwino, Mhe. Janeth Mayanja amekabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh. 132,850,200 kwa vikundi 25 vya wajasiriamali wanawake na vijana ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa sera y...