Imewekwa: August 24th, 2019
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwa tarehe 24 Novemba 2019 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika.
Waziri Jafo ameyasema hayo jana alipokuwa akifanya kikao na...
Imewekwa: August 14th, 2019
Kwa mara ya kwanza Nchini Halmashauri zote 185 zimefanikiwa kukusanya sh. bilioni 661.4 ambayo ni sawa na asilimia 91 ya malengo ya mwaka wa Fedha 2018/19 ya kukusanya sh bilioni 723.
Matokeo haya ...
Imewekwa: August 8th, 2019
Wakati wakulima wakisherehekea siku ya Nane Nane mkoani Dodoma, Msanii Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amefanya ziara kwenye mashamba ya zabibu yaliyopo Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuhamasish...