ARDHI NA MALIASILI
Idara ya Ardhi na Maliasili hushughulikia masuala mbalimbali kuhusu uendelezaji wa Makazi, Ardhi na Maliasili. Idara hii inatekeleza na kusimamia Program mbalimbali zinazohusiana na maendeleo ya makazi ikiwemo kuboresha miundombiu ya jamii katika maeneo yasiyopangwa),
Muundo wa Idara
Idara ya Ardhi na maliasili ni mojawapo kati ya Idara za Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino zinazofanya kazi chini ya Mkurugenzi wa Wilaya. Idara imegawanyika katika sehemu tano zinazojumuisha Miliki na Maendeleo ya ardhi, Mipango ya Makazi, Uthamini, misitu na wanyamapori na Upimaji na Ramani
Majukumu ya Idara
Kuandaa na kusimamia utekelezaji mipango ya uendelezaji wa ardhi katika Wilaya kwa kuzingatia Mpango Kabambe, Sheria ya Mipangomiji Sura Na. 8 ya mwaka 2007, sheria ya Ardhi na 4 &5 za mwaka 1999 na kanuzi zake pamoja na mingozo mingine inayotolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
WATUMISHI WA IDARA
RUGAMBWA J. BANYIKILA--------------MKUU WA IDARA
SIMU: 0655 600 007
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.