Wataalam kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) wametoa mafunzo ya Mfumo wa Manunuzi ya Umma (NeST) kwa Walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino leo tarehe 21 Machi, 2025 yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.
Mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo Walimu Wakuu ili kuhakikisha manunuzi yote yanayofanyika kwa fedha ya Serikali katika vituo vyao yanapitia katika mfumo wa manunuzi ya umma (NeST).
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.