Mafunzo ya ufuatiliaji wa ukuaji wa maendeleo ya mtoto yatolewa.
Watoa huduma za afya kutoka katika hospitali, vituo vya afya na zahanati katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino wapatiwa mafunzo
Mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi mikutano wa Halmashauri yalitolewa na Maafisa lishe wa Wilaya ya Chamwino yalilenga ufuatiliaji bora wa ukuaji wa maendeleo ya mtoto.
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.