Waandishi wa orodha ya wapiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa Wilaya ya Chamwino wamepatiwa mafunzo leo Oktoba 8, 2024 katika ukumbi wa shule ya Sekondari Chamwino.
Mafunzo hayo yalienda sambamba na kuapishwa kwa waaandishi hao wa orodha ya wapiga kura ili kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, uaminifu pamoja na kutunza siri katika zoezi zima la uandikishaji.
Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa litaanza oktoba 11 hadi 20 2024.
#Serikali za Mitaa Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.