• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mwenyekiti Halmashauri Chamwino Awashukuru Waheshimiwa Madiwani Na Wakuu Wa Idara

Imewekwa: June 18th, 2025

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Chamwino Mhe. Edson Sweti amewashukuru wahe. Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino pamoja na Wakuu wa Idara/Vitengo kwa ushirikiano mzuri waliompatia kwa kipindi chote cha miaka mitano cha uongozi wake. 

Ameyasema hayo kwenye mkutamo maalum wa Baraza la Madiwani uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri Juni 18, 2025 ambapo alitumia fursa hiyo kuwaaga kutokana na mabaraza yoteya Madiwani  nchini kuvunjwa ifikapo Juni 20, 2025 kwa ajili ya kupisha uchaguzi mkuu.

" Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa ushirikiano mlioniopatia ninyi Waheshimiwa Madiwani wote pamoja na wakuu Waidara/Vitengo kwa kipindi chote cha miaka mitano cha uongozi wangu. Haikuwa kazi rahisi lakini mliweza kuniamini na kunipa ushirikiano mzuri, pengine wahe. Madiwani mngeweza kuazimia na kuniondoa kwenye uongozi huo lakini hamkufanya hivyo. Ninawashukuru sana na nawatakia kila la heri kwa wale mtakaoingia tena kwenye kinyanga'anyiro cha uchaguzi." Alisema Mhe. Mwenyekiti.

Naye kaimu Mkurugenzi wa Halmashaurindugu Godfrey Mnyamale amewashukuru kwa uongozi wao mzuri nakueleza kuwa huo ndiyo uliyowezesha mafanikio na maendeleo yaliyopatikana ndani ya Halmashauri yetu. Naye pia aliwatakia heri kwa kipindi hiki wanapoondoka.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Chamwino Yafanya Tathimini Ya Utendaji Kazi Na Kuweka Mikakati Mipya Kwa Mwaka 2025/2026

    July 15, 2025
  • Wakulima Wahimizwa Kuunda Vyama Vya Ushirika Ili Kunufaika Na Mfumo Wa Stakabadhi Ghalani

    July 09, 2025
  • Watumishi Chamwino Wapigwa Msasa Mfumo Wa e- Utendaji

    July 08, 2025
  • Manejimenti Chamwino Yapokea Mradi Wa Tuinuke Pamoja

    July 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.