Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chamwino Ndugu A. H. Masasi anapenda kuwataarifu wananchi wote kujitokeza kwa wingi kuupokea na kuukimbiza Mwenge wa Uhuru kama inavyooneshwa katika ratiba hapa chini.
2:30-3:00 Asubuhi; Kuupokea Mwenge Kutoka Mpwapwa - MANCHALI
3:05-3:25 Asubuhi; Kuweka Jiwe la Msingi Jengo la Mdhibiti Ubora wa Elimu - BUIGIRI
3:30-4:00 Asubuhi; Ujumbe wa Mbio za Mwenge - CHAMWINO IKULU
4:00-4:30 Asubuhi; CHAI - CHAMWINO IKULU
5:00-5:10 Asubuhi; Wananchi Kuukimbiza Mwenge - HANDALI
5:40-6:00 Asubuhi; Kuzindua Mradi wa Maji Ndebwe - NDEBWE
6:00-7:00 Mchana; Chakula cha Mchana - MVUMI-MISSION
7:20-8:00 Mchana; Kutembelea Mradi wa Vijana wa Kutengeneza Bidhaa za Ngozi na Kugawa Hati za Kimila za Viwanja - IDIFU
8:15-8:30 Mchana; Salamu za Mwenge wa Uhuru - IRINGA-MVUMI
8:40-9:00 Mchana; Kuweka Jiwe la Msingi Jengo la Utawala Hospitali ya Wilaya - MLOWA-BARABARANI
12:00-2:00 Usiku; Chakula cha Jioni - MLOWA-BARABARANI
2:00-12:00 Alfajiri; Mkesha wa Mwenge - MLOWA-BARABARANI
2:00 Asubuhi; Kuukabidhi Mwenge Wilaya ya Dodoma Mjini - MPUNGUZI
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.