Imewekwa: October 7th, 2020
Mitihani ya kuhutimu Elimu ya Msingi yaanza leo nchi nzima inayotarajiwa kufanyika kwa siku mbili tarehe 07 na 08 Oktoba 2020. Mkurugenzi Mtendaji, Menejimenti na Watumishi wote wa Halmashauri ya Wila...
Imewekwa: September 25th, 2020
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- TAMISEMI, anayeshughulikia Afya Dkt. Dorothy Gwajima,amezitaka timu za Afya za Wilaya kufanya vikao vinavyoibua hoja za msingi zenye mashiko ya kuipeleka sekta ya Afya...