Imewekwa: March 20th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe Janeth Mayanja aliyehamia akitokea Wilaya ya Hanang amefanya kikao cha kutambuana na watumishi kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali wilayani Chamwino.
Kikao kimefany...
Imewekwa: March 8th, 2024
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeendelea kuchukua jitihada mbalimbali za kuhakikisha kuwa Wanawake wanap...
Imewekwa: March 7th, 2024
Taasisi ya kuwezesha wanawake kiuchumi - TWCC imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wah. Madiwani, Wakuu wa Idara na Vitengo katika ngazi ya uandaaji wa mipango na bajeti ya mlengwa wa kijinsia katika ng...