Imewekwa: February 25th, 2023
Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetoa msaada wa madaftari, kalamu za wino, penseli,Vifutio na biscuit kwa wanafunzi wa shule ya msingi Buigiri Blind.
Msaada huoumetolewa na Prof. Julius Nyahongo, Ra...
Imewekwa: February 22nd, 2023
Afisa Utumishi Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Bi Christina Sam amekabidhi pikipiki kwa watendaji wa kata kwa niabà ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Dr. Semistatus Mashimba Februari 21, 2023.
Pikipi...
Imewekwa: February 16th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino imefanya kikao cha wadau wa elimu Wilaya leo Februari 16, 2023, kwa lengo la kufanya tathimini kuona walichopanga na wapi walipofika katika utekelezaji wa malengo wal...