Imewekwa: November 16th, 2024
Mafunzo ya ufuatiliaji wa ukuaji wa maendeleo ya mtoto yatolewa.
Watoa huduma za afya kutoka katika hospitali, vituo vya afya na zahanati katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino wapatiwa mafunzo
...
Imewekwa: November 15th, 2024
Mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Dabalo FC na Itiso FC ulimalizika kwa timu ya Dabalo kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Itiso, mchezo huo wa bonanza kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa No...
Imewekwa: November 5th, 2024
Afisa Elimu Msingi wa Wilaya ya Chamwino Bi Zaina Ramadhan Kishegwe ametoa maagizo kwa wakuu wote wa shule za msingi Wilaya ya Chamwino kusimamia ufundishaji na kuhakikisha mahiri (...