Imewekwa: January 27th, 2021
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa S.Kemikimba amezindua Mradi wa maji wenye Gharama ya Tshs 318,888,222/= kwa jitihada za Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Water Mission Tanzania...
Imewekwa: January 21st, 2021
Na Brian Machange - Buigiri, Chamwino
Waziri wa Maji Mheshimiwa Juma Aweso (Mb) amesema hataongeza muda wa siku 60 uliotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Maji kukakamilisha mradi wa ujenzi wa tangi la ...
Imewekwa: January 12th, 2021
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma toka Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi wamesheherekea siku ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kujitolea Damu katika Hospitali ya Uhuru iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani d...