Imewekwa: December 14th, 2020
Na Brian Machange - Chamwino
Katika kutekeleza agizo la Serikali lililotolewa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) tarehe 08.12.2020 kwa Mikoa ...
Imewekwa: December 13th, 2020
Mbunge wa Jimbo la Chamwino Mhe. Deo Ndejembi jana tarehe 12 Disemba 2020, amefanya ziara kata ya Chilonwa, Msanga, Chamwino, Buigiri na Manchali na kukutana na Viongozi wa Kata na Vijiji hivyo pamoja...
Imewekwa: December 11th, 2020
Na Brian Machange - Chamwino
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino leo tarehe 11 Disemba 2020, limefanya Mkutano wake wa kwanza katika ukumbi wa Ofisi za Kijiji cha Chamwino Ikulu...