UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MWAKA 2018/19 KWA KUTUMIA FEDHA ZA, SERIKALI KUU, EP4R, EQUIPT MFUKO WA MAJIMBO NA WAFADHILI
|
|
||||
JINA LA MRADI |
CHANZO CHA FEDHA/MFADHILI |
FEDHA TOLEWA |
HATUA YA MRADI
|
|
|
|
|||||
Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya
|
Serikali KUU
|
1,500,000,000.00 |
Ujenzi upo hatua ya lenta kwa majengo 5 na majengo 2 yapo katika hatua ya kupaua. Aidha ujenzi unaendelea kwa kutumia FORCE ACCOUNT na unategemea kukamilika mwezi Juni 2019
|
|
|
Kuwezesha Ujenzi wa madarasa 8 na ofisi 2, matundu ya vyoo 12 katika shule shikizi za Manzilanzi na Lugala
|
EQUIP - T
|
120,000,000.00 |
Ujenzi upo hatua ya kupaua madarasa na vyoo, ujenzi unategemea kukamilika kabla ya Juni 30, 2019
|
|
|
Ukamilishaji wa madarasa 2 na ofisi 1 ya walimu shule ya msingi Nhinhi
|
25,200,000.00 |
Ujenzi upo hatua ya kupaua madarasa na vyoo ujenzi, unategemea kukamilika kabla ya Juni 30, 2019
|
|
||
Umaliziaji ujenzi wa madarasa 26 katika shule 13 za Sekondari za Chilonwa, Fufu, Handali, Haneti, Huzi, Itiso, Manchali, M/Barabarani, M/Bwawani, Mpwayungu, Msanga, Mvumi Mission na Segala ambapo kila shule itajenga madarasa 2 kwa gharama ya Tshs 25,000,000
|
Serikali KUU |
325,000,000.00 |
Fedha zimeingizwa katika akaunti za Shule kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi upo katika hatua ya kujenga visusi baada ya lenta kukamilika. Aidha ujenzi unategemea kukamilika katika kipindi cha robo ya nne 2018/19.
|
|
|
Ujenzi wa madarasa 6 na matundu 18 ya vyoo katika shule za Sekondari Maila, Buigiri na Igandu kwa kila shule kujenga madarasa 2 na matundu 6 ya vyoo kwa gharama ya Tshs 46,600,000
|
EP4R 2018/19 |
139,800,000.00 |
Fedha zimeingizwa katika akaunti za Shule kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi unatarajia kukamilika kabla ya Juni 30, 2019.
|
|
|
Ujenzi wa nyumba ya mwalimu 2in1 na uchimbaji wa kisima cha maji Maila Sekondari
|
85,000,000.00 |
Fedha zimeingizwa
|
|
||
EP4R 2018/19
|
katika akaunti ya Shule kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi unatarajia kukamilika kabla ya Juni 30, 2019.
|
|
|||
Ujenzi wa madarasa 2, matundu 6 ya vyoo na nyumba 2 za walimu 2in1 Mpwayungu Sekondari
|
146,600,000.00 |
Fedha zimeingizwa katika akaunti ya Shule kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi unatarajia kukamilika kabla ya Juni 30, 2019
|
|
||
Ujenzi wa Bwalo 1, Bweni la wasichana 1 na matundu 6 ya vyoo Mvumi Mission Sekondari
|
181,600,000.00 |
Fedha zimeingizwa katika akaunti ya Shule kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi unatarajia kukamilika kabla ya Juni 30, 2019.
|
|
||
Ujenzi wa Mnada mpya Kata ya Fufu
|
LIC |
50,000,000.00 |
Ujenzi wa zizi la ng'ombe na mbuzi umekamilika, Aidha Ujenzi unaendelea katika machinjio na vyoo matundu 4. ujenzi unategemea kukamilika kabla ya 31/05/2019.
|
|
|
Kuwezesha ukamilishaji/Ujenzi wa madarasa, miundombinu ya maji, vyoo, ujenzi wa zahanati kwa kutumia fedha za ruzuku ya jimbo la Mtera
|
MTERA CDF |
49,761,180.00 |
Fedha zimeingizwa katika akaunti za Shule, Vijiji na Zahanati kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi unatarajia kukamilika kabla ya 30 June 2019,
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Kuwezesha ukamilishaji/Ujenzi wa madarasa, miundombinu ya maji, vyoo, ujenzi wa zahanati kwa kutumia fedha za ruzuku ya jimbo la Chilonwa
|
CHILONWA CDF |
42,195,820.00 |
Fedha zimeingizwa katika akaunti za Shule, Vijiji na Zahanati kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi unatarajia kukamilika kabla ya 30 Juni 2019.
|
|
|
Ujenzi wa madarasa 2 shule ya Sekondari Mlowa Bwawani
|
EP4R 2017/18 |
18,000,000.00 |
Ujenzi wa darasa 1 umekamilika na kutumika na darasa 1 lipo hatua ya ukamilishaji kupiga plasta.
|
|
|
Ujenzi wa maabara 1 shule ya Sekondari Idifu
|
EP4R 2017/18 |
20,000,000.00 |
Ujenzi upo katika hatua za mwisho za ukamilishaji ya kufunga milango, maji na umeme.
|
|
|
Ujenzi wa miundombinu ya maji katika vijiji 8 vya Chinoje, Handali, Magungu, Wiliko, Wilunze, Nhinhi, Mguba na Segala
|
RWSSP |
186,399,179.00 |
Pampu 4 za vijiji vya Wilunze, Wiliko, Nhinhi na Mguba zimenunuliwa na kusimikwa na huduma ya maji inapatikana.
|
|
|
Jumla |
2,889,556,179.00 |
|
|
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.