• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI MKUU ATOA SIKU 15 KUKAMILISHA UJENZI WA HOSPITALI YA UHURU

Imewekwa: November 20th, 2020

Na Brian Machange- CHAMWINO


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa(Mb) ametoa siku 15 (kuanzia leo) kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Uhuru inayojengwa Wilayani Chamwino, Mkoani Dodoma.

Ametoa maagizo hayo leo Novemba 20,2020 alipokuwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali hiyo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma, ambapo ameitaka Halmashauri ya Chamwino, Wakala wa Majengo (TBA) na Suma JKT kuhakikisha ujenzi  wa Hospitali ya uhuru unakamilika ifikiapo Desemba 05, 2020.

Amesema Hospitali ya Uhuru ni moja ya miradi yakimkakati ya serikali ya awamu ya tano yakuimarisha utoaji wa huduma katika sekta ya Afya ambayo inaanzia kuboresha kuanzia ngazi ya Zahanati, Vituo vya Afya,  Hospitali za Wilaya, Hospitali za Rufaa na Hospitali za magonjwa makubwa.

Mhe. Majaliwa amesema miradi ya kimkakati inatakiwa ikamilike kwa wakati na Watanzania wanahamu yakuona miradi hiyo inakamilika na kuanza kutoa huduma, hivyo fanyeni kazi kwa weledi ilikuweza kukamilisha ujenzi wa Hospitali hiyo muhimu kwa jamii.

Vilevile ametoa pongezi kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kuweza kusimamia maeneo yote ya ujenzi wa miundombinu kwenye sekta ya Afya nchini kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.

Awali akitoa taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Uhuru wilayani Chamwino, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga amesema Hospitali ya Uhuru imekadiriwa kutumia zaidi ya shilingi Bilioni 3.995 na kiasi kilichotengwa ni Bil3.410 ambapo zaidi ya shilingi Milioni 995 zilikuwa ni fedha za maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Tanganyika

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.