• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Naibu Wazri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Ashiriki Zoezi la upandaji Miti Chamwinoi

Imewekwa: May 26th, 2023

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu  wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza Khamis ameongoza zoezi la upandaji miti lililofanyika leo Mei 26, 2023 shule ya sekondari Buigiri. 

Taasis zilizohisani zoezi hili ni TCCHP ikishirikiana na Habari Conservation Chini ya ufadhili wa TFS - PMM Living way.

Akizungumza nawananchi Mhe. Khamis Hamza Hamis amewahimiza wadau wote wa mazingira hususani waandishi wa habari kuendelea kutoa elimu ya mazingira. 

" Wanahabari tumieni weledi wenu kuwaelimisha wananchi umuhimu wa kutunza mazingira na athari zake," alisema.

Vilevile aliendelea kusema kuwa ipo  haja ya kuendelea kutoa elimu ya kuepuka mabadiliko ya tabia ya nchi  kwa kuunga juhudi za Serikali.

"  Tupandeni miti mingi na kuitunza, tumeshazindua kampeni maalum mashuleni ya kusomana kupanda miti." Alisema Naibu Waziri.

Aidha Naibu Waziri alizungumzia kuhusu suala la biashara ya hewa ukaa ambapo alieleza kuwa bado jamii haijawa na uelewa juu yake na kuelekeza kuwa elimu iendelee kutolewa kuhusiana na biashara hiyo.

"Biashara ya hewa ukaa, bado jamii haijajua taaluma hii, hivyo naomba mkawape taaluma wananchi wetu, moja namna ya kujua fursa na namna gani ya kunufaika na biashara hii na watu wa habari mnayo nafasi kubwa ya kuelimisha jamii," alisema Naibu Waziri.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na mazingira alizungumzia suala la uelewa mdogo wa wananchi katika kutunza vyanzo vya maji na kueleza kuwa hakuna mazingira bila maji, na ndio maana siku hizi wanashuhudia wanyama wakitangatanga kwenye makazi ya watu wakitafuta maji. Alielekeza shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya maji kama vile kilimo, kunywesha mifugo na uchimbaji madini zidhibitiwe.

Vilevile alizungumzia suala la kuwasaidia watu wenye ulemavu hususani wenye ulemavu wa ngozi ( ualbino) pamoja na viungo kwa kupanda miti kwa maana wanapata tabu na jua kali.

Jumla ya miti 1,000 imepandwa ambapo miti ya matunda ni 700 na ya kivuli 300. Mhe. Naibu Waziri amesisitiza miti hiyo itunzwe vizuri ili ikue.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.