• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mhe. Yindi Aongoza Mkutano Wa Wazazi Kuhamasisha Mpango Wa Chakula Shuleni

Imewekwa: March 5th, 2025

Katika mapambano ya kuongeza ufaulu wa Wanafunzi shuleni ndani ya kata ya Buigiri na Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa ujumla, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri na Diwani wa kata ya Buigiri Mh. Kenneth E. Yindi ameongoza mkutano na wazazi wa Kijiji cha Mwegamile na Chinangali II Kata ya Buigiri uliofanyika katika shule ya Msingi Chinangali II.

Mkutano huo umefanyika jana tarehe 04 Machi, 2024 ikiwa ni hitimisho la ziara ya Mh. Yindi katika kata ya Buigiri kutembelea shule zote za Msingi na Sekondari na kuzungumza na wazazi kutatua changamoto mbalimbali shuleni ikiwemo upatikanaji wa chakula katika shule zote.

Akizungumza katika mkutano huo amehimiza Wazazi kuchangia chakula shuleni ili Wanafunzi waweze kula muda wa shule

“Kushuka kwa elimu ni kwa kukosa chakula shuleni, hiyo hela unayoitoa itasababisha maendeleo baadae." Alihimiza Mh. Yindi.

Pamoja na hilo, amewasisitiza waalimu kuwa na matumizi mazuri ya michango inayokusanywa shuleni kwa ajili ya chakula.

“Kwenye michango hiyo hiyo zile kamati zilizochaguliwa, Waalimu hizi hela mzione kama moto Wazazi wanahitajika kwa asilimia mia moja na washirikishwe kwenywe kila kitu”. Alisema Mh. Yindi.

Aidha Mhe. Diwani amewaelekeza walimu kufuata sheria ya utoaji wa  adhabu za viboko kwa Wanafunzi shuleni kuhaidi kuchukua hatua kwa Waalimu ambao watawaadhibu Wanafunzi maeneo ya mwili yasiyostahili.

Halikadhalika, katika ziara zake hizo katika vijjiji vyote vya kata ya Buigiri, Makamu Mwenyekiti ametoa michango mbalimbali katika shule zote za kata ya Buigiri kuchangia chakula na kutatua changamoto mbalimbali katika kufanikisha upatikanaji wa chakula shuleni ikiwemo kilo 600 za mahindi, kilo 350 za maharage, kilo 175 za mbaazi, kilo 50 za kunde, majiko 10 ya gesi kwa shule zote pamoja na Zahanati ya Mwegamile, zahanati ya Buigiri  na Ofisi ya Kata, mabati kwa ajili  ya ujenzi wa majiko pamoja na fedha taslimu.

Vilevile Kamanda wa Polisi Wlaya ya Chamwino Grace Peter Salia aliahidi kuchangia kiasi cha shilingi 100,000/= kwa ajili ya kununua mlingoti wa bendera na kamba kwa ajili ya shule ya Sekondari ya Mwengamile ambapo kiasi cha shilingi 20,000/= kilitolewa na Mwenyekiti wa kijiji cha Buigiri kama sehemu ya mchango huo.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.