Tuesday 21st, January 2025
@Chamwino DC
TAREHE 9 JULAI 2019
*Atatembelea Shamba la Zabibu CHINANGALI.
*Atafanya Mkutano wa Hadhara HANETI.
*Atatembelea na Kukagua Shule ya Msingi HUMEKWA
*Atafanya Mkutano wa Hadhara HUMEKWA
TAREHE 10 JULAI 2019
*Atatembelea na Kukagua Shule ya Msingi ILANGALI
*Atafanya Mkutano wa Hadhara ILANGALI
*Atafanya Mkutano wa Hadhara MANDA
WANANCHI WA MAENEO HUSIKA NA VIUNGA JIRANI MNAKARISHWA
#Tunatekeleza
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.