• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Wamiliki Mashine Za Kusaga Nafaka Wahimizwa Kufunga Vinyunyizi Vya Virutubisho

Imewekwa: May 26th, 2025

Katika hali ya kuongeza lishe bora kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, wito umetolewa kwa wamiliki wa mashine za kusaga nafaka hasa unga wa mahindi na ngano kuhakikisha wanafunga kinyunyizi cha virutubisho katika mashine ili Wananchi waweze kupata chakula chenye virutubisho vya aina mbalimbali.

Wito huo wa kufunga vinyunyizi katika mashine maarufu kama (Dosifiers) ambavyo huwa na vitamini A pamoja na madini umetolewa leo tarehe 26 Mei, 2025 wakati wa kikao cha lishe robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024-2025 kilichofanya katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

Hayo yamekuja kufuatia jitihada za Serikali katika kuimarisha ustawi wa lishe bora kwa Wananchi ili kuondokana na lishe duni na ulaji wa chakula usiozingatia makundi sita ya vyakula.

Aidha, wataalam wamehimizwa kutoa elimu kwa wamiliki wa mashine juu ya umuhimu wa kufunga vinyunyizi vya virutubisho ambavyo hutolewa na kufungwa pasi na malipo na Halmashauri kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Sanku, pamoja elimu kwa Wananchi kutumia vyakula ambavyo vimewekewa virutubisho.

Akizungumza katika kikao hicho Mwenyekiti wa kikao Ndg. Benjamin Gervas Afisa Tawala Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ambaye alimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mh. Janeth Mayanja alisisitiza utolewaji wa elimu hiyo.

“Tuendelee kutoa elimu ili Wananchi wa chini kabisa ambao hawafahamu umuhimu wa haya masuala waweze kufahamu na waweze kutekeleza yale malengo ambayo tumekuwa tukijiwekea”. Alisema Ndg. Benjamin.

Halikadhalika zoezi la utolewaji wa chakula shuleni kwa Wanafunzi limeendelea kutiliwa mkazo katika kikao hicho ili kuhakikisha Wanafunzi katika shule zote wanapata chakula wakiwa shuleni.

“Kuna ambao wanatoa chakula shuleni asilimia 100 lakini kuna baadhi ya shule zina asilimia 20, naona hapa tujifunze kwa wale wanaofanya vizuri wao wanafanyaje mpaka wanafanikiwa maana Wanachi ni walewale kama ni kilimo wote wanategemea kilimo cha aina ileile sasa wenzetu wamefanyaje wameweza kufanikisha kwa asilimia 100 na wengine tupo nyuma.” Alisema Ndg. Eusebi Kessy Mganga Mkuu Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Wamiliki Mashine Za Kusaga Nafaka Wahimizwa Kufunga Vinyunyizi Vya Virutubisho

    May 26, 2025
  • Mchengerwa Awataka Maafisa Habari Kuhakikisha Wananchi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • Miche 350 Ya Matunda Yapandwa Kuadhimisha Kampeni Ya "Mti Wangu Birthday Yangu"

    May 22, 2025
  • Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Ashiriki Zoezi La Kuboresha Taarifa Kwenye Daftari La Kudumu La Wapiga Kura

    May 17, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.