Friday 17th, January 2025
@Shule za Sekondari Chamwino
Wanafunzi wa Kidato cha Sita wanatarajia kuanza kufanya mitihani ya kuhitimu, inayoandaliwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) siku ya Jumanne tarehe 2 Mei, 2017. Kwa Wilaya ya Chamwino ni shule moja tu ndiyo itashiriki katika mitihani, ambayo ni Shule ya Sekondari DCT Mvumi. Maandalizi ya Mitihani hiyo yanaanza tarehe 29 Aprili, 2017. Menejimenti ya Halmashauri ya Chamwino inawatakia mitihani mema kwa wanafunzi wote nchi nzima.
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.