JITIADA ZA RC DOM DKT. MAHENGE KUWAINUA VIJANA KIUCHUMI KUPITIA KILIMO, AWAANZISHIA KAMBI MAALUM YA KILIMO CHA MBOGAMBOGA, AWACHANGIA MIL 15 KWA KUSHIRIKIANA NA MBUNGE WA BAHI MHE OMARY BADUWE
MAAGIZO YA RC DKT. MAHENGE KWA TARURA (KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA DODOMA)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo ametoa agizo kwa Ofisi za Mikoa na Halmashauri zote nchini kutenga fedha kwa ajili ya ununuzi wa vifaa kwa vitengo vya Mawasiliano ili viweze kutekeleza majukumu yake.
Mhe. Jafo ametoa agizo hilo Jijini Arusha alipokuwa akifunga Kikao Kazi cha 14 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini uliohudhuriwa na Maafisa Mawasiliano 300 kutoka katika Taasisi, Idara na Wakala wa Serikali, Mikoa, Majiji, Miji na Halmashauri zote nchini.
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.