• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MIRADI INAYOENDELEA

Start Date: 2018-07-01
End Date: 2019-06-30

   

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MWAKA 2018/19  KWA KUTUMIA FEDHA ZA, SERIKALI KUU, EP4R, EQUIPT MFUKO WA MAJIMBO NA WAFADHILI

JINA LA MRADI

CHANZO CHA FEDHA/MFADHILI

FEDHA TOLEWA

HATUA YA MRADI


Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya



Serikali KUU


 1,500,000,000.00

Ujenzi upo hatua ya lenta kwa majengo 5 na majengo  2 yapo katika hatua ya kupaua. Aidha ujenzi unaendelea kwa kutumia FORCE ACCOUNT na unategemea kukamilika mwezi Juni 2019

 Kuwezesha Ujenzi wa madarasa 8 na ofisi 2, matundu ya vyoo 12 katika shule shikizi za Manzilanzi na Lugala

EQUIP - T








EQUIP - T




     120,000,000.00

Ujenzi upo hatua ya kupaua madarasa na vyoo, ujenzi unategemea kukamilika kabla ya Juni 30, 2019

 Ukamilishaji wa madarasa 2 na ofisi 1 ya walimu  shule ya msingi  Nhinhi

       25,200,000.00

Ujenzi upo hatua ya kupaua madarasa na vyoo ujenzi, unategemea kukamilika kabla ya Juni 30, 2019

Umaliziaji ujenzi wa madarasa 26 katika shule 13 za Sekondari za Chilonwa, Fufu, Handali, Haneti, Huzi, Itiso, Manchali, M/Barabarani, M/Bwawani, Mpwayungu, Msanga, Mvumi Mission na Segala ambapo kila shule itajenga madarasa 2 kwa gharama ya Tshs 25,000,000





Serikali KUU

     325,000,000.00

Fedha zimeingizwa katika akaunti za Shule kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi upo katika hatua ya kujenga visusi baada ya lenta kukamilika. Aidha ujenzi unategemea kukamilika katika kipindi cha robo ya nne 2018/19.

Ujenzi wa madarasa 6 na matundu 18 ya vyoo katika shule za Sekondari Maila, Buigiri na Igandu kwa kila shule kujenga madarasa 2 na matundu 6 ya vyoo kwa gharama ya Tshs 46,600,000



EP4R 2018/19

     139,800,000.00

Fedha zimeingizwa katika akaunti za Shule  kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi unatarajia kukamilika kabla ya Juni 30, 2019.

Ujenzi wa nyumba ya mwalimu 2in1 na uchimbaji wa kisima cha maji Maila Sekondari

       85,000,000.00

Fedha zimeingizwa

EP4R 2018/19
 katika akaunti ya Shule  kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi unatarajia kukamilika kabla ya Juni 30, 2019.

Ujenzi wa madarasa 2, matundu 6 ya vyoo na nyumba 2 za walimu 2in1 Mpwayungu Sekondari

     146,600,000.00

Fedha zimeingizwa katika akaunti ya Shule  kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi unatarajia kukamilika kabla ya Juni 30, 2019

Ujenzi wa Bwalo 1, Bweni la wasichana 1 na matundu 6 ya vyoo Mvumi Mission Sekondari

     181,600,000.00

Fedha zimeingizwa katika akaunti ya Shule kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi unatarajia kukamilika kabla ya Juni 30, 2019.

Ujenzi wa Mnada mpya Kata ya Fufu



LIC

       50,000,000.00

Ujenzi wa zizi la ng'ombe na mbuzi umekamilika, Aidha Ujenzi unaendelea katika machinjio na vyoo matundu 4. ujenzi unategemea kukamilika kabla ya 31/05/2019.

Kuwezesha ukamilishaji/Ujenzi wa madarasa, miundombinu ya maji, vyoo, ujenzi wa zahanati kwa kutumia fedha za ruzuku ya jimbo la Mtera



MTERA CDF

       49,761,180.00

Fedha zimeingizwa katika akaunti za Shule, Vijiji na Zahanati  kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi unatarajia kukamilika kabla ya 30 June 2019,






Kuwezesha ukamilishaji/Ujenzi wa madarasa, miundombinu ya maji, vyoo, ujenzi wa zahanati kwa kutumia fedha za ruzuku ya jimbo la Chilonwa



CHILONWA CDF

       42,195,820.00

Fedha zimeingizwa katika akaunti za Shule, Vijiji na Zahanati kwa ajili ya utekelezaji, Ujenzi unatarajia kukamilika kabla ya 30 Juni 2019.

Ujenzi wa madarasa 2 shule ya Sekondari Mlowa Bwawani



EP4R 2017/18

18,000,000.00

Ujenzi wa darasa 1 umekamilika na kutumika na darasa 1 lipo hatua ya ukamilishaji kupiga plasta.

Ujenzi wa maabara 1 shule ya Sekondari Idifu



EP4R 2017/18

20,000,000.00

Ujenzi upo katika hatua za mwisho za ukamilishaji ya kufunga milango, maji na umeme.

Ujenzi wa miundombinu ya maji katika vijiji 8 vya Chinoje, Handali, Magungu, Wiliko, Wilunze, Nhinhi, Mguba na Segala



RWSSP

186,399,179.00

Pampu 4 za vijiji vya Wilunze, Wiliko, Nhinhi na Mguba zimenunuliwa na kusimikwa na huduma ya maji inapatikana.

Jumla 

2,889,556,179.00

 


 

 

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.